Difference between revisions of "Swaxiliavaf urimak 09"
(Buredura) |
M (Swaxiliavafa urimak 09 déplacé vers Swaxiliavaf urimak 09: Vergumveltaj) |
(No difference)
|
Version du 08:26, 16 anhusteaksat 2007
| ||||
---|---|---|---|---|
Vergumvelt | Kiswahili methali | |||
Sutesik | - | |||
Piskura | - | |||
Ava | Swaxiliava | |||
Evla | - | |||
| ||||
Vergumvelt | Swaxiliavafa urima se | |||
Kalkotavasik | Bruno Cordelier | |||
Piskura | Kotava.org | |||
Evla | 2006 | |||
| ||||
Webesik | Pelican | |||
Krentduga | Tuenayan |
9. Swaxiliavafa urima se (241-270)
241. Mungu ni mkuu wa yote
Lorik sotir logijaf dam kotcoba
242. Mvumbika changa hula mbovu
Tan va lukrajaf ilt sus va zaxanaca estur
243. Mvunja nchi ni mwananchi
Tan va vo vilas tir wideyik
244. Mvuvi ajuwa pweza alipo
Onasik sogruper lize ajewa tir
245. Mwacha asili ni mtumwa
Tan va zae vulkus sotir levetirikinda
246. Mwamini Mungu si mtovu / Mcha Mungu si mtovu
Tan lorikfolis va mecoba gracir
247. Mwana maji wa kwale kufa maji mazowea
Belxara tir giltafa gu birik ke Kwale
248. Mwana mkaidi hafaidi mpaka siku ya idi
Takelaf velik ba kapaviel anton impavantar
249. Mwana mkuwa nawe ni mwenzio kama wewe
Rumeik do rin tugijawes tir dositik
250. Mwana simba ni simba
Krapoloc sotir krapol
251. Mwana wa kuku hafunzwi kuchakura
Wiloc metaveyenon sidfasiar
252. Mwanga mpe mtoto kulea
Va rumeik pu diwedik zilil ta da in varter
253. Mwangaza mbili moja humponyoka
Tan va toloy libakol onkas va tanoy kelutur
254. Mwanzo kokochi mwisho nazi
Tozion tiyir geilt, tenion tir wageya
255. Mwanzo wa chanzo ni chane mbili
Toza ke tcalist tir toloy femnok
256. Mwanzo wa ngoma ni lele
Stuteratoza tir "lele"
257. Mwekaji kisasi haambiwi mwerevu
Tan jaxadaramidus me tir gruf
258. Mwenda mbio hujikwa kidole
Nugagelt ke soriarsik somucuweter
259. Mwenye kelele hana neno
Tan giliyeptas me sotir wupef
260. Mwenye kovu usidhani kapowa
Eeptakirik trakur da tir mefraskenaf
261. Mwenye kubebwa hujikaza
Tan geburen godapnariwer
262. Mwenye kuchinja hachelei kuchuna
Tan bonolwetas kalion basalmar
263. Mwenye kuumwa na nyoka akiona jani hushtuka
Tan gan perake bugdayan golde toa vagrabler
264. Mwenye macho haambiwi tazama
Wiakirik miv sodisuker
265. Mwenye nguvu mpishe
Iskel da zolonik kabdulanir
266. Mwenye njaa hana miiko
Aelesik gitir pouksiskaf
267. Mwenye pupa hadiriki kula tamu
Pegik va bote me sokestur
268. Mwenye shibe hamjui mwenye njaa
Basaelanik va aelesik me sowir
269. Mwenye shoka hakosi kuni
Tan va kufta dis va inta me sogracir
270. Mwibaji ni mtwana, mlifi ni mwungwana
Dubiesik tir drendaf volse toldodesik tir dugaf
← 8. (211-240 ur-) - 9. (241-270 ur-) - 10. (271-300 ur-) → |