Swaxiliavaf urimak 04
| ||||
---|---|---|---|---|
Vergumvelt | Kiswahili methali | |||
Sutesik | - | |||
Piskura | - | |||
Ava | Swaxiliava | |||
Evla | - | |||
| ||||
Vergumvelt | Swaxiliavafa urima | |||
Kalkotavasik | Bruno Cordelier | |||
Piskura | Kotava.org | |||
Evla | 2006-2013 | |||
| ||||
Webesik | Bcordelier | |||
Krentduga | Tuenayana |
4. Swaxiliavafa urima (91-120)[modifier]
91. Kimya kingi kina mshindo mkubwa
Moi amlitap edavapara
92. Kinga na kinga ndipo moto uwakapo
Tey nornoknornokon sotulopoawer
93. Kinyozi hajinyoi
Lukastgabesik va int me sotipoker
93. Kinywa ni jumba la maneno
Art sotir ravlemxo
94. Kipendacho moyo ni dawa
Jugemera ke takra sotir wayot
95. Kipya kinyemi ingawa kidonda
Warzaca rotir kranavon menper
96. Kisebusebu na roho kipapo
Belcafa vewara isu nalera
97. Kisokula mlimwengu, sera nale
Va medjumestunaca ke ayik ortlik estul !
98. Kitanda usicho kilala hujui kunguni wake
Va katsi ke ilava lize kenibeyel anton rogrupel
100. Kivuli cha fimbo hakimfichi mtu jua
Ta awalt peyizga me sorojur
101. Konzo ya maji haifumbatiki
Lavaki me zo sonarir
102. Kosa moja haliachi mke
Tanoya rokla rotir dimkurer
103. Kuambizana kuko kusikilizana hapana
Tan pirdas me giterktar
104. Kucha Mungu si kilemba cheupe
Lorikkivasuca me kir batakadelorkiruca
105. Kuchamba kwingi, kuondoka na mavi
Tcatepera ta basbaxara
106. Kufa kufaana
Awalkera sotuguntanar
107. Kufa kwa jamaa, harusi
Awalkera ke milmonik kir kurera
108. Kufa kwa mdomo, mate hutawanyika
Ede art awalker fianni sotcastawer
109. Kuishi kwingi ni kuona mengi
Blipira num wipira
110. Kujikwa si kuanguka, bali ni kwenda mbele
Ardeotara me tir melubera vols artlanirinda
111. Kukopa harusi kulipa matanga
Beitara gitir kurerinda, toldodera kotawarinda
112. Kuku havunji yai lake
Va ato wilya me sokempar
113. Kuku mgeni hakosi kamba mguuni
Warzaf wiloc sotir inhafobanaf
114. Kula kutamu, kulima mavune
Plinafa estura vox cuusa midura
115. Kulea mimba si kazi kazi kulea mwana
Genasbalara gitir lewavdafa dam rumeikvartera
116. Kunako matanga kumekufa mtu
Tir caxa kire kontan su awalker
117. Kunguru mwoga hukimbiza mbawa zake
Vazafi sveri va wilteem gidimsoar
118. Kupanda mchongoma, kushuka ngoma
Rin va aal grutidlanil volse grutitlanil
119. Kupotea njia ndiyo kujua njia
Eglura vox vawatrasira
120. Kutoa ni moyo usambe ni utajiri
Zilira gitir takra lodam kuluca
← 3. (61-90 ur-) - 4. (91-120 ur-) - 5. (121-150 ur-) → |